Mwanamke anafurahia kitu fulani kwenye skrini ya simu yake

Kila siku, tunatumia data kuboresha utendaji wa huduma zetu kwa manufaa yako.

Kwa hivyo, ni muhimu tuhifadhi data hiyo kwa njia salama na ya faragha na kukupa udhibiti.

Data inamwarifu mwanamke aliye na mwavuli kuwa mvua itanyesha

Data hukupa majibu ya maswali yako wakati unapoyahitaji.

Mwanamume anayeendesha baiskeli anatumia data kuwasiliana katika lugha nyingine

Inakusaidia kupata maneno sahihi ya kutumia katika lugha yoyote.

Huduma ya Ramani za Google inamwelekeza mwanamume kutumia njia bora ya kufika aendapo

Pia, hukuelekeza kutoka sehemu moja hadi nyingine kwa wakati ufaao.

Mwanamume anacheza ngoma kutokana na nyimbo anazosikiliza kwenye vifaa vya masikioni

Hukusaidia kutambua video unayofurahia au wimbo mpya unaopenda.

Mwanamke anapiga picha mtoto na mbwa kwenye sofa

Data pia hukusaidia kupata jamii na marafiki zako katika kila picha unayopiga.

Faragha kwenye Google, Usalama na Vipengele vya Kudhibiti

Data ni ya kibinafsi. Kwa hivyo tunailinda.